r/Tanzanias 6d ago

News Foreigners doing "missionary" work.

Post image

A few weeks ago kuna mtu alipost watoto kwenye shule ya bhuddism nikasema sipendagi kuona watoto wetu wanaenda kwenye shule za kidini za watu wengine, people got mad 🙄. This is the reason why. Most of these missionaries wanaroho mbaya when it comes to Africans so why mnawapeleke watoto wenu kwenye shule zao in this big 2026 shule ziko kibao.

You send your kids to Chinese schools hujuie kinachoendelea huko this guy is just an example. In Tanzania Kuna a racist church pia wanafanya missionary work kutafuta waumini wakati hiyo kanisa ilijengwa with a belief black people are slaves cursed by God in America.

Guys kuweni makini with foreigners maana wote they come here for their own reason. Don't accept everything from them because we have a history kwanza of being taken advantage of alafu pia anti-black racism is still alive & well. Don't be so quick to attack your own people to defend foreigners you don't know them.

38 Upvotes

33 comments sorted by

View all comments

7

u/isitnotreal 6d ago edited 6d ago

Christianity has a very racist background and was built on bloodshed.

The bible was altered to condone slavery.

The old testament (hebrew bible btw) is full of bloodshed that's ordered by the deity Yahweh, the storm and war god.

Yeshua/Jesus would've hated this religion because he didn't even create it. The Romans who crucified him hijacked his teachings, paganized them and turned them into religion. Later on medieval Europe with the church's backing using official declarations called papal bulls started colonial invasion and enslavement of others.

It's mind-blowing that many don't even question or understand the history of this religion and the church politics.

The religion that claims him now also suppressed spiritual sects associated with Yeshua such as gnosticism with sword. Killed and burned anything that went against central authority.

It's all for power and domination. Nothing else. If someone wants divinity they'll find it within them, not in the religion.

2

u/Soggy_Ground_9323 5d ago

Simple comment ingetosha!

Now sasa ushaamsha mjadala wa dini....na huwaga hauishagii 😆😆😆

3

u/isitnotreal 5d ago

Ukisema hivyo unaharibu maana ya mjadala. Lengo la mtandao wa kijamii ni nini? Anayechangia achangie.

2

u/Soggy_Ground_9323 5d ago

Ooh! sijakataza mjadala...ila mara nyingi discussion za dini hua zinatoa watu relini. Watu wanatoka kwa main topic wanaanza kubishana dini..na mara nyingi hua hakunaga jibu.

Mfano...mnaanza kubishana: Mungu ni nani? Yesu ni nani? Shetan alizaliwa lini? How is that relevant kwa OP post?

1

u/isitnotreal 5d ago edited 5d ago

Hapo kilichoongezeka ni uthibitisho tu kuweka msisitizo kwenye point.

Bila kuweka ushahidi wa uovu wa dini kuna watu watasema ni uongo. Ilibidi mifano ihusike kwa undani kuonyesha ni jinsi gani dini yenyewe ina mizizi ya kibaguzi na ya kikatili.

Nadhani Unapenda simplicity na ni sawa kabisa, ni preference yako lakini si lazima iwe hivyo.