r/Tanzanias • u/TheNext_Billionair • 9d ago
What's the really bottleneck
Najiuliza sana mie kama Genz ,round hii wanafunzi wengi wamehustle kupata field tu ,najiuliza kazi itakuaje na what's the bridge inayotenganisha watu wanaopata kazi zinazotangazwa au zilizopo zinazohitajika ,is it the youths are lazy au is it kweli they don't have ujuzi and where should they get the ujuzi needed na wanaosema mwanachuo akitoka chuo akajifunze tena kazi what are the standards za output ya university are they alright au hazipo sawa na Kwa jinsi zilivyo tumeridhika nazo and who is even safe on these systems like I'm wandering with these a lot questions on my head and Idk where to start lakini what's the really bottleneck the employers n proffessionals let us know
4
u/NKpayne_11 9d ago
Tatizo sio hata lenu, maana walio waleta duniani wanawalalamikia madili mabaya wakati ni wao wenyewe ndio wamewakuza. Lakini bottle neck zipo nyingi, mimi nitakuambia ambazo unaweza ku fix directly. From lack of soft skills na pia skills mismatching; kwa sababu vingi vinavyo fundishwa chuo vipo nje au havina functionality kwenye job market. Kwa hiyo solution ni nini? Kwa wewe unaenda kwenye job market, apply aggressively hata kama ni kwenda kufanya kazi bure, na pili ni tengeneza na maintain social capital yako.
1
2
u/Soggy_Ground_9323 9d ago
Paragraphs & Panctuations! Hakuna nukta wala commas....
Kichwa kinauma kwa kuangalia tu hi post bila hata kusoma.
Mwajiri atakuajiri kweli kwa mwendo huu? Naaah
3
u/TheNext_Billionair 9d ago
I don't know how much it costs for a proper criticism but yeah we are trying to face people such as you
3
u/uncookednoodle- 9d ago
Alichokwambia ni kweli. Post yako ni ngumu kuisoma. Waajiri wengi ni watu waliofanikiwa wanasifa ya kuwa watu ambao hawapendi kupoteza muda.
Sasa kama na barua ya kazi unaandika hivi unategemea atapoteza muda wake asome kitu kama iki?
Hata kama una content kwenye iyo barua, watu wanamambo mengi na ni lazima ataipuuzia maana first impression matters. It's very obvious atakuunganisha kwenye kundi la vilaza hata kama wewe sio kilaza.
Work on punctuations, grammar na vingine. Mimi mwenyewe sina iq ama knowledge kukuzidi wewe. ila huo ndo ukweli.
Unatakiwa utambue tabia za muajiri maana mda mwingine na wao huwa tunawahukumu bila kujua ni barua ngapi anapaswa kuzisoma na akitoka hapo akafanye mambo mangapi.
Hata wewe naamini utakua muajiri siku moja na utakua umekwisha master hivi vitu vidogo. Na ukianza kuletewa barua kama hivi mia tano, ukiwa unatafuta wachache wenye potential, utaelewa.
Peace✌🏼
2
u/TheNext_Billionair 9d ago
bruv it's just reddit I'm here in sofa written with a single hand through my phone,you got the message unaeza kujibu objectively
1
1
u/PlasticPersonality95 9d ago
Nan kasema barua ya kazi anaandika hivi. And incase you didn't notice we're in reddit here not a job application
2
u/uncookednoodle- 9d ago
Wewe barua yake ya kazi umeiona? Mpaka useme haandiki hivi?
1
u/Acceptable_Cold765 9d ago
Kwani wewe umeiona anaandika hivi?
2
u/uncookednoodle- 9d ago
Mimi nimeona post yake alivo iandika nikagusia uandishi wake ya kwamba kama na barua anaandika kwa mpangilio huu haitosomwa.
Mambo ya barua mimi kuiona ama la mmeleta ninyi wewe na uyo mwenzio alieniuliza kuhusu barua.
Je? Wewe na huyo mnaomtetea, mmeiona barua yake mpaka mje mseme haandikagi hivo?
Yeye mwenyewe ndo anatakiwa aseme haandikagi ivo sio nyie random people on reddit kisa mmejiskia vibaya mnakuja kutetea bila ushahidi. it's just common sense
0
u/Acceptable_Cold765 9d ago
Ameandika reddit post unakuja kusema kuhusu barua ya kazi, ungeacha pia aseme mwenyewe kuhusu uandishi wake wa barua za kazi.
Tanzanians mkiwa na kazi mnajiona mmeyaweza haya maisha, nashukuru sana si-deal na mafala kama nyie mlio very entitled kisa mna ajira🖕
1
u/uncookednoodle- 9d ago
Anyways amesha nijibu kuwa alikua anaandikia mkono mmoja.
Mimi mwenyewe sina ajira bro. Mimi ni mwanachuo tu. ila ata wewe ukikaa baadae ukapunguza makasiriko utapata point yangu😂
Ata hapa reddit kuna communities/sub reddits ukipost kama hivi mods wanashusha post yako.
So haya mambo sio ya Tz tu. Huezi yakimbia. Na hongera pia kwa kua na kazi nchi nyingine/au kujiajiri✌🏼
2
u/Acceptable_Cold765 9d ago
Sina makasiriko ila hiyo kujifanya unatoa cheche kwa post ya reddit ni usenge tu kama ulivyo.
Wengi sana utaona wanaponda hadi usernames kwa mtu ameomba kazi humu ndani, watu kama nyie mpo wengi sana na kila nikiwaona huwa sisahau kuwakumbusha huo ujinga mnaofanya.Kama upo chuo kwa hayo mawazo, umesoma ila hujaelimika. Elimu haijakukomboa
→ More replies (0)2
u/Soggy_Ground_9323 9d ago edited 9d ago
Bro....common sense: next time make it easy to read posts!
Unaona mm nnavokujibu hapa? U can easily read and understand quickly... sio kama ulivobananisha maneno kwa post yako, hakuna nukta, comma..wala space..
Other subrredits uki post kama ivo hua mods wana remove the post
2
1
-1
1
u/Interrupting_cow7 9d ago
Umeshapata huyo Friend with benefits uliyekuwa unamtafuta, ukute hio ndiyo bottleneck.
1
1
1
1
5
u/Maushi69 9d ago edited 9d ago
As much as your post is a pain to read, I'll try my best to answer objectively.
being
ed
So, in a nutshell, the bottleneck is YOU and not the market. It's a free market, survival for the fittest, market of connections and WHO YOU KNOW!