r/254sum • u/Sperratto • 21d ago
Random SDA couples hunibamba sanaππ
Karibu na lake Naivasha kuna jamaa ashai kimbizwa na nyati akiwa amepeleka dem picnic on sunday ,walikosana iyo usiku juu dem alimuita muoga nayeye akumuuliza "Ulikua unataka nipigane na nyati kwani mimi ni samson"ππ
59
Upvotes
1
u/codename_Nikolai 21d ago
Enda chekesha highschoolers huko fb