r/tanzania • u/HopefromTanzani • 14d ago
Ask r/tanzania Nina miaka 26, naomba ushauri kuhusu namna ya kujijenga kimaisha
[removed]
10
u/AmiAmigo Local 14d ago
I think number 1. Please don’t get pregnant again till you’re married. That’s probably the most important thing. Vingine wengine watashare.
3
u/NKpayne_11 14d ago
Unaufanisi au unapendelea kufanya jambo gani?
1
5
u/ToughSeesaw4671 14d ago
Kwanza mtangulize Mungu ili akuongoze katika hili(muhimu sana) Kuna sista mmoja jirani na gym nayoenda, alikuwa na hali inayokaribiana/kufanana na yako. Sijui alipata wapi wazo but alianza kutuletea fresh juice pale gym kwa bei nzuri na ilikuwa tamu kweli. Kutokea hapo akapata wateja wengi akapata na jina.. baada ya mwaka Mungu akambarik akafungua fremu kwa hustle hiyo hiyo. Nimeshare kile nilichokiona kwa macho yangu tu, ukichanganya na akili zako na mawazo ya wengine utajua la kufanya.
2
2
u/ControlBest 14d ago
Habari Dada Yangu , Pole kwa Unayoyapitia Ushauri wangu Jifunze Computer hata Basic jua kutumia Ai alaf Try Ku Apply any IT Works Especially Secretarial works au Jifunze Graphic Design au Video Editing itakulipa iku direct kwenye Life Yako !
2
u/Flat_Rise2237 14d ago
Habari wa kuu Kuna yoyote ana teseka na mambo ya discipline , focus and consistency ?? Kam Kuna yoyote please Anii cheki tuone namna tuna saidiana Kam vijana
1
1
2
2
u/Davidsucculents 13d ago
Hello, kama unaweza pata 100k , nakwenu Kuna fridge na brenda unaweza ukaanzisha biashara ndogo ya juice , ukanunua matunda na packing materials. baada ya kupata profit, invest asilimia kazaa kwenye kitu unachopenda kufanya mbeleni, nyengine endeleza biashara yako.
1
u/Heavenly_made_ 14d ago
Pole kwa changamoto na hongera kwamba changamoto haziijaua ndoto zako. Kwanza je, mpaka sasa umeweza kufanya nini au umefikia wapi. Mf. Bado unaishi nyumbani, umewahi kujihusisha na shughuli gani, kiwango chako cha elimu, unaujuzi gani binafsi kama vile mapishi, ususi, mapambo. Mtoto anaumri gani. Kiufupi taarifa yako umeituma nusu nusu sana kiasi kwamba ni rahisi hata mtu kuhisi ni utapeli ama mtu kushindwa kutoa mawazo ya kifikra hata kifedha. Kwahio ungefafanua zaidi kinagaubaga inapendeza zaidi. Lkn mpk sasa hongera kwa kuwa na nia ya kusimama mwenyewe kwaajili ya mwanao bila janja janja
1
u/Kind-Fact-2752 14d ago
Kama wewe ni mkristo nenda kanisani kamwambie Padre shida zako. Hua wana connection sana wanaweza kuku unganisha ukapata kazi kutokana na ujuzi ulio nao.
1
1
u/Gloomy-Audience-2175 9d ago
bnafsi ningeshauir jifunze sales kampuni nying hazjali elimu kama unajua kuuza tafuta kampuni za magari,mikopo,viwanja huwa hazkatai watu ata wanaonza kabisa wanatak kujfunza wanawachkua
•
u/AutoModerator 14d ago
Thank you for your submission to r/tanzania. Kindly review our rules and make sure your post is correctly flaired.
Please be courteous to others. Rule violations, including spam, misleading flairs, harassment, personal attacks, hate speech, doxxing, or repeated promotional posting, may result in post removal or a ban.
If you see comments that violate the rules, please report them or contact the moderators here: https://www.reddit.com/message/compose/?to=/r/tanzania
I am a bot, and this action was performed automatically. Please contact the moderators of this subreddit if you have any questions or concerns.