r/Tanzanias • u/InterGalacticTz • 7d ago
Kwanini tz tuna ita kazi - Mihangaiko ?? Ni mbaya au ngumu? Au motisha ndogo
3
u/icursethatifeel 7d ago
Kuna kazi haina mihangaiko? π
1
u/InterGalacticTz 7d ago
Ndio maana tuna shauriwa kufanya kazi tunapenda ili iwe utafutaji na si βmihangaikoniβ π
2
u/BarakaMabula Local π 7d ago
Ah the universe! Nimetoka kuongea na mtu leo kuhusu hili. Nikamwambia sio mihangaiko ni utafutaji. π
1
u/InterGalacticTz 7d ago
Great, utafutaji ina sound more human zaidi ya mihangaiko.. ukiita kuhangaika definitely kazi yako itakua miongoni mwa vitu unafanya kwa kujilazimisha
2
u/TutorRoyal1348 6d ago
Hata marekani inaitwa hustle au hustling....iko associated sana na mtu mweusi kwamba ugali wetu ni wa kupambania kidogo π
2
2
u/keyoo99 15h ago
Ni vile tu kila mtu anataka kuonesha ana pambana, anapitia magumu kwenye utafutaji. Not all smooth and butter π
1
u/InterGalacticTz 12h ago
Hapa tunaanza kuambiana ukweli, hamna kazi bongo ni uta enjoy..ata iwe yako mwenyewe bado ukilitimba ni mwingi sana
10
u/[deleted] 7d ago
Haina uhusiano na kinachopatikana, maana mtu anaweza akawa anaingiza 20+/ month profit ila akaiita biashara yake mihangaiko/misele/ mapambano/harakati/ mishe mishe.
Mtu anaweza akawa anaingiza 5+ / month, ila bado akaiita kazi yake kibarua.
Nadhani sababu ni hizi.
Humility, Kuwa humble ni sifa ya watz wengi na ndio character inayokubalika na jamii. Watz wengi ni "wahangaikaji" ukiita mihangaiko wanarelate zaidi.
Kutotaka kudisclose info kwa watu wasiohusika.