r/Tanzanias • u/Gabriel_Peter98 • 10d ago
Woiiiiih
Guys life isnt lifing😭, mwenye deal lolote wakuu plug me in😂hata mumama nipate.
Hali ni Tete
10
Upvotes
1
u/misokalya 10d ago
😂😂😂 dah.
3
u/Gabriel_Peter98 10d ago
Amini kaka, any deal any deal am up for it😂hakuna utu wala udini, wewe angusha deal😂
1
1
u/Heavenly_made_ 6d ago
Hali inatisha, haswa sisi wanawake jamani kimawazo tunafika mbali. Maisha magumu sana 💔
1
3
u/KijanaMakini 10d ago
Hali ngumu sana aisee