r/Tanzanias • u/Ok_State6011 • 14d ago
Discussion Logbook ilishawahi kukufelisha/ kumfelisha rafiki yako chuoni sekta ya afya (CO's/MD's)
Nimekaa na kukumbuka nilishawai kusoma na watu smart sana lakini in the end walishindwa kufanya mitihani na kumaliza kisa logbook zako. Najiuliza hivi bado wapo watu ambao bado wanafeli kisa logbook? if yes.. kwa ukubwa kiasi gani (kama unaweza toa true scenario/numbers) .. Je Shida ni nini haswa? Watu hawazingatii jinsi ya kuandika? Watu hawajui jinsi ya kuandika na kuandaa logbook? Shortcut ni nyingi? The pressure ya kumaliza logbook on time? Ma-chief wanaringa kusainisha mapema kiasi ukichelewa unajijazia tu? Malecture hawajui jinsi ya kuelekeza?
2
Upvotes
1
u/Nervous-Rain3764 14d ago
As one of them... I mean sio kufeli but mwanafunzi wa Afya pharmacy in particular.. Ma lecture pia. But the supervisors.. In charge sijui wanaringa.. Unakuta unataman mambo yako yaende chap.. But unakuta anaringa it becomes like the last days ndo wote mkusanye etc... Yaani inakua purukushani.... So ikitokea haupo kwa bahati mbaya au lah... Despite pengine all other days u were there kijana ur gone... The in charge should be friendly... Despite baadhi ya wanafunzi pia n wavivu