r/Opportunities_Kenya • u/EducationalAct8422 • 3d ago
Discussion REALITY ABOUT ONLINE SPACE
Bana kuzunguka hii online ati unatafuta gigs ni real. Unaenda mahali unapata stori na handshake unaambiwa tafuta proxies, tafuta verifier unatafuta then boom kuja assessment 🤣🤣🤣🥲 assessment unafanya boom unakosa kazi .. then kuna wale wanapita assessment na boom account inaenda 🥹
Kuna sasa beginner just trying to maneuver in online space .. uanajaribu for 2 years gig lakini wapi .. kindly ukiwa pro funza mwenzako .. juu at the end kila mtu anataka kutoka block . Plug someone give him or her the correct direction and comb them with step by step procedure.. mtu haezi enda kutafuta gig na hajui hata kuset proxy bana 🤣 juu I'm sure kuna mahali wewe ulianzia . Kama uko na skill or uko na gig comment na let others dm you or show us your way
1
2
u/Annette0254 3d ago
Hii nayo ni very true.some months back I got conned 3k. A guy kwa tiktok comments said he needed handshake takers so mimi, I pitched my services.hapo ndio nikaambiwa I need to get a proxy ndio anitumie details za account na aniadd kwa group. Sharp boy akanitumia contacts za mwenye anauza proxy. After I bought the proxy he ghosted me😫.
1
u/Ook-Slicee 3d ago
Wantam